-
Yohana 2:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 akamwambia: “Kila mtu hutoa divai nzuri kwanza, kisha hutoa divai hafifu wakati ambapo watu wameingiwa na kileo. Lakini wewe umehifadhi divai nzuri mpaka sasa.”
-
-
Yohana 2:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 na kumwambia: “Kila mtu mwingineye hutoa divai bora kwanza, na hafifu wakati watu waingiwapo na kileo. Wewe umeweka akiba divai bora hadi sasa.”
-