-
Yohana 2:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kisha Wayahudi wakasema: “Hekalu hili lilijengwa kwa miaka 46, je, wewe utalisimamisha kwa siku tatu?”
-
-
Yohana 2:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Kwa hiyo Wayahudi wakasema: “Hekalu hili lilijengwa kwa miaka arobaini na sita, nawe je, utaliinua katika siku tatu?”
-