-
Yohana 4:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Yesu akamwambia: “Mwanamke, niamini, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu wala kule Yerusalemu.
-
-
Yohana 4:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Yesu akamwambia: “Niamini mimi, mwanamke, Saa inakuja wakati ambapo wala si katika mlima huu wala katika Yerusalemu nyinyi watu mtamwabudu Baba.
-