-
Yohana 4:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Niliwatuma mkavune kile ambacho hamkufanyia kazi. Wengine wamefanya kazi, nanyi mmefaidika kutokana na kazi yao.”
-
-
Yohana 4:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Mimi niliwatuma nyinyi mkavune ambacho hamkufanyia kazi ya jasho. Wengine wamefanya kazi ya jasho, nanyi mmeingia katika manufaa ya kazi yao.”
-