-
Yohana 4:46Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
46 Basi akaja tena hadi Kana ya Galilaya, ambako alikuwa amegeuza maji kuwa divai. Basi kulikuwako hadimu fulani wa mfalme ambaye mwana wake alikuwa mgonjwa katika Kapernaumu.
-