-
Yohana 5:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Mgonjwa huyo akamjibu: “Bwana, sina mtu wa kuniweka ndani ya dimbwi maji yanapotibuliwa, lakini ninapotaka kuingia, mtu mwingine huingia kabla yangu.”
-
-
Yohana 5:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Huyo mgonjwa akamjibu: “Bwana, sina mtu wa kuniweka ndani ya dimbwi wakati maji yatibuliwapo; lakini wakati ninapokuwa nikija mwingine huteremka mbele yangu.”
-