-
Yohana 5:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 “Kwa kweli ninawaambia, saa inakuja, nayo imefika, ambapo wafu wataisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale ambao wamesikiliza wataishi.
-
-
Yohana 5:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 “Kwa kweli kabisa mimi nawaambia nyinyi, Saa inakuja, nayo ipo sasa, wakati wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu na wale ambao wamemsikiliza wataishi.
-