-
Yohana 5:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Nimekuja katika jina la Baba yangu, lakini hamnikubali. Ikiwa mtu mwingine angekuja kwa jina lake mwenyewe, mngemkubali.
-
-
Yohana 5:43Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
43 Mimi nimekuja katika jina la Baba yangu, lakini nyinyi hamnipokei; ikiwa mtu fulani mwingine angewasili katika jina lake mwenyewe, mngempokea huyo.
-