-
Yohana 6:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Basi umati ulipoona kwamba Yesu na wanafunzi wake hawapo, wakapanda mashua zao wakaenda Kapernaumu kumtafuta Yesu.
-
-
Yohana 6:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa hiyo umati ulipoona kwamba Yesu hakuwa hapo wala wanafunzi wake, ukapanda mashua zao ndogo ukaja hadi Kapernaumu kumtafuta Yesu.
-