-
Yohana 7:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Lakini ndugu zake walipopanda kwenda kwenye sherehe, yeye pia alienda, lakini kisiri.
-
-
Yohana 7:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Lakini ndugu zake walipokuwa wamepanda kwenda kwenye msherehekeo, ndipo yeye mwenyewe pia akapanda kwenda, si waziwazi bali kama katika siri.
-