-
Yohana 7:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Yeye ambaye husema kwa ubuni wake mwenyewe anatafuta sana utukufu wake mwenyewe; bali yeye atafutaye utukufu wake aliyemtuma, huyu ni wa kweli, na hakuna ukosefu wa uadilifu katika yeye.
-