-
Yohana 7:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Anamaanisha nini anaposema, ‘Mtanitafuta, lakini hamtanipata, na mahali nilipo hamwezi kuja’?”
-
-
Yohana 7:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 Wamaanisha nini usemi huu aliosema kwamba, ‘Nyinyi mtanitafuta, lakini hamtanipata, na mahali nilipo hamwezi kuja’?”
-