-
Yohana 7:45Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
45 Kisha wale maofisa wakarudi kwa wakuu wa makuhani na Mafarisayo. Wakawauliza: “Kwa nini hamkumleta?”
-
-
Yohana 7:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 Kwa hiyo maofisa wakarudi kwa makuhani wakuu na Mafarisayo, na hao wa mwisho wakawaambia: “Ni kwa nini hamkumleta?”
-