-
Yohana 8:53Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
53 Wewe si mkuu kuliko Abrahamu baba yetu ambaye alikufa, sivyo? Manabii pia walikufa. Unafikiri wewe ni nani?”
-
-
Yohana 8:53Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
53 Wewe si mkubwa kuliko Abrahamu baba yetu, ambaye alikufa, ndivyo? Pia, manabii walikufa. Wewe wadai kuwa nani?”
-