-
Yohana 8:59Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
59 Ndipo wakaokota mawe ili wampige, lakini Yesu akajificha na kuondoka hekaluni.
-
-
Yohana 8:59Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
59 Kwa hiyo wakaokota mawe wamvurumizie; lakini Yesu akajificha na kwenda kutoka hekaluni.
-