-
Yohana 9:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Wakamuuliza tena yule mtu aliyekuwa kipofu: “Unasemaje kumhusu kwa kuwa wewe ndiye uliyefunguliwa macho?” Akajibu: “Yeye ni nabii.”
-
-
Yohana 9:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Kwa sababu hiyo wakamwambia tena huyo mtu aliye kipofu: “Wewe wasema nini juu yake, kwa kuwa alifungua macho yako?” Huyo mtu akasema: “Yeye ni nabii.”
-