-
Yohana 9:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Wazazi wake wakajibu: “Tunajua kwamba huyu ni mwana wetu na alizaliwa akiwa kipofu.
-
-
Yohana 9:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Ndipo kwa kujibu wazazi wake wakasema: “Sisi twajua kwamba huyu ni mwana wetu na kwamba alizaliwa kipofu.
-