-
Yohana 9:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Yule mtu akawajibu: “Kwa kweli inashangaza kwamba hamjui alikotoka, ingawa ndiye aliyefungua macho yangu.
-
-
Yohana 9:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Kwa kujibu huyo mtu akawaambia: “Hakika hili ni staajabu, kwamba nyinyi hamjui anakotoka, na bado alifungua macho yangu.
-