-
Yohana 10:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 “Kwa kweli kabisa nawaambia nyinyi, Yeye asiyeingia ndani ya zizi la kondoo kupitia mlango bali hupanda juu mahali pengine, huyo ni mwizi na mporaji.
-