-
Yohana 10:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Wote ambao wamekuja wakidai kwamba wao ni mimi, ni wezi na waporaji; lakini kondoo hawakuwasikiliza.
-
-
Yohana 10:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Wote wale ambao wamekuja mahali pangu ni wezi na waporaji; lakini kondoo hawajawasikiliza.
-