-
Yohana 10:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Yesu akawajibu: “Niliwaonyesha kazi nyingi nzuri kutoka kwa Baba. Kati ya kazi hizo, ni ipi inayofanya mtake kunipiga mawe?”
-
-
Yohana 10:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Yesu akawajibu: “Mimi niliwaonyesha kazi nyingi bora kutoka kwa Baba. Ni kwa sababu ya ipi kati ya kazi hizi mnanipiga kwa mawe?”
-