-
Yohana 11:56Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
56 Walikuwa wakimtafuta Yesu, nao wakawa wakiulizana wakiwa wamesimama hekaluni: “Mnaonaje? Je, kweli atakuja kwenye sherehe?”
-
-
Yohana 11:56Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
56 Kwa hiyo wakaenda wakimtafuta Yesu nao wakawa wakiambiana huku wamesimama kuzunguka katika hekalu: “Kauli yenu ni nini? Kwamba hatakuja kwenye msherehekeo hata kidogo?”
-