-
Yohana 13:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Petro akamwambia: “Hakika wewe hutaosha kamwe miguu yangu.” Yesu akamjibu: “Isipokuwa nikuoshe, wewe huna sehemu pamoja na mimi.”
-