-
Yohana 13:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Baada ya kuosha miguu yao na kuvaa mavazi yake ya nje, akaketi mezani tena akawaambia: “Je, mnaelewa jambo ambalo nimewafanyia?
-
-
Yohana 13:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Basi, alipokuwa ameosha miguu yao akawa amevaa mavazi yake ya nje na kujiegemeza mezani tena, akawaambia: “Je, mwalijua ambalo nimewafanyia nyinyi?
-