-
Yohana 16:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Kwa hiyo, nyinyi pia, sasa, kwa kweli, mna kihoro; lakini mimi nitawaona nyinyi tena na mioyo yenu itashangilia, na shangwe yenu hakuna atakayeichukua kutoka kwenu.
-