-
Yohana 16:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Sasa tunafahamu kwamba unajua mambo yote na huhitaji kuulizwa swali na mtu yeyote. Kwa hiyo, tunaamini kwamba ulitoka kwa Mungu.”
-
-
Yohana 16:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Sasa twajua kwamba wajua mambo yote na huhitaji kuulizwa swali na yeyote. Kwa hili sisi twaamini kwamba ulitoka kwa Mungu.”
-