-
Yohana 18:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Sasa Simoni Petro na vilevile mwanafunzi mwingine alikuwa akimfuata Yesu. Mwanafunzi huyo alijulikana na kuhani wa cheo cha juu, naye aliingia pamoja na Yesu ndani ya ua wa kuhani wa cheo cha juu,
-