-
Yohana 18:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Basi mkuu wa makuhani akamuuliza Yesu kuhusu wanafunzi wake na kuhusu mafundisho yake.
-
-
Yohana 18:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Na kwa hiyo kuhani mkuu akamuuliza Yesu maswali juu ya wanafunzi wake na juu ya fundisho lake.
-