-
Yohana 19:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Kwa sababu hiyo Pilato akamwambia: “Je, husemi nami? Je, hujui mimi nina mamlaka ya kukufungua na nina mamlaka ya kukutundika mtini?”
-