-
Yohana 20:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Wote wawili wakaanza kukimbia pamoja, lakini yule mwanafunzi mwingine akakimbia upesi kuliko Petro akatangulia kufika kwenye kaburi.
-
-
Yohana 20:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Ndiyo, hao wawili pamoja wakaanza kukimbia; lakini yule mwanafunzi mwingine alikimbia mbele ya Petro kwa kasi zaidi naye akalifikia kaburi la ukumbusho kwanza.
-