-
Yohana 20:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Yesu akamwita: “Maria!” Alipogeuka akasema kwa Kiebrania: “Raboni!” (maana yake “Mwalimu!”)
-
-
Yohana 20:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Yesu akamwambia: “Maria!” Alipogeuka kabisa, Maria akamwambia, katika Kiebrania: “Raboni!” (ambalo lamaanisha “Mwalimu!”)
-