-
Yohana 21:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Akawaambia: “Tupeni wavu upande wa kuume wa mashua nanyi mtapata baadhi yao.” Basi wakautupa, lakini hawakuweza tena kuuvuta ndani kwa sababu ya wingi mkubwa wa samaki.
-