-
Yohana 21:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Lakini wale wanafunzi wengine wakaja katika ile mashua ndogo, kwa maana hawakuwa mbali na nchi kavu, karibu umbali wa meta tisini tu, wakiukokota wavu wa samaki wengi.
-