-
Yohana 21:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kwa kweli ninakuambia, ulipokuwa kijana, ulikuwa unavaa mwenyewe na kutembea kokote ulikotaka. Lakini utakapozeeka, utanyoosha mikono yako na mtu mwingine atakuvalisha na kukupeleka usikotaka.”
-
-
Yohana 21:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Kwa kweli kabisa mimi nakuambia wewe, Ulipokuwa kijana zaidi, ulikuwa ukijifunga kiuno na kutembea huku na huku ulikotaka. Lakini wakati uzeekapo utanyoosha mikono yako na mtu mwingine atakufunga kiuno na kukuchukua usikotaka wewe.”
-