-
Yohana 21:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Yesu akamwambia: “Ikiwa ni mapenzi yangu akae mpaka nije, hilo linakuhusuje? Wewe endelea kunifuata.”
-
-
Yohana 21:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Yesu akamwambia: “Ikiwa ni mapenzi yangu adumu hadi nije, hilo lakuhusu nini wewe? Wewe endelea kunifuata mimi.”
-