-
Matendo 17:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Basi akaanza kujadiliana katika sinagogi pamoja na Wayahudi na watu wengine waliomwabudu Mungu na kila siku pamoja na watu aliowakuta sokoni.
-
-
Matendo 17:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Kwa sababu hiyo akaanza kujadiliana kwa kutoa sababu katika sinagogi pamoja na Wayahudi na watu wengine waliomwabudu Mungu na kila siku mahali pa soko pamoja na wale waliotukia kuwa hapo.
-