-
1 Wakorintho 7:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Lakini hata kama ukifunga ndoa, hutakuwa ukifanya dhambi. Na kama bikira akifunga ndoa, mtu huyo hatakuwa akifanya dhambi. Hata hivyo, wale wanaofanya hivyo watakuwa na dhiki katika mwili wao. Lakini ninajaribu kuwaepusha ninyi.
-
-
1 Wakorintho 7:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Lakini hata kama ungeoa, hungefanya dhambi. Na kama mtu-bikira angeoa, huyo hangefanya dhambi. Hata hivyo, wale wafanyao hivyo watakuwa na dhiki katika mwili wao. Lakini mimi ninawaepusha nyinyi.
-