-
1 Wakorintho 8:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kwa maana yeyote akikuona wewe uliye na ujuzi ukila mlo katika hekalu la sanamu, je, dhamiri ya huyo aliye dhaifu haitapata ujasiri kufikia hatua ya kula chakula kilichotolewa kwa sanamu?
-
-
1 Wakorintho 8:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Kwa maana iwapo yeyote akuona wewe, uliye na ujuzi, ukiwa umeegama kwenye mlo katika hekalu la sanamu, je, dhamiri ya huyo aliye dhaifu haitajengwa kufikia hatua ya kula vyakula vilivyotolewa kwa sanamu?
-