-
1 Wakorintho 11:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa maana mnapokula, kila mtu hutangulia kula mlo wake mwenyewe wa jioni, hivi kwamba mmoja ana njaa lakini mwingine amelewa.
-
-
1 Wakorintho 11:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Kwa maana, mlapo huo, kila mtu hula kimbele mlo wake mwenyewe wa jioni, hivi kwamba mmoja ni mwenye njaa lakini mwingine ameingiwa na kileo.
-