-
1 Wakorintho 11:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Kwa maana kila mara mnapokula mkate huu na kunywa kikombe hiki, mnaendelea kukitangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja.
-
-
1 Wakorintho 11:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Kwa maana mara nyingi kwa kadiri mlavyo mkate huu na kunywa kikombe hiki, mwafuliza kutangaza kifo cha Bwana, mpaka awasilipo.
-