-
1 Wakorintho 11:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Kwa maana yule anayekula na kunywa bila kuutambua mwili, anakula na kunywa hukumu dhidi yake mwenyewe.
-
-
1 Wakorintho 11:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Kwa maana yeye alaye na anywaye ala na anywa hukumu dhidi yake mwenyewe ikiwa hafahamu mwili.
-