-
1 Wakorintho 14:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Ndivyo ilivyo pia kwa vitu visivyo na uhai ambavyo hutoa sauti, iwe ni filimbi au kinubi. Kusipokuwa na tofauti kati ya sauti, kinachopigwa kwenye filimbi au kwenye kinubi kitajulikanaje?
-
-
1 Wakorintho 14:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kama ilivyo, vitu visivyo na uhai hutoa mvumo, kama ni filimbi au kinubi; kisipofanya tofauti baina ya sauti za muziki, itajulikanaje ni nini kinachopigwa kwa filimbi au kwa kinubi?
-