-
2 Wakorintho 11:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 na bado nilipokuwa pamoja nanyi nami nikapatwa na uhitaji, sikuwa mzigo wenye kulemea kwa mtu hata mmoja, kwa maana ndugu waliokuja kutoka Makedonia walijazia kwa wingi upungufu wangu. Ndiyo, katika kila njia nilijitunza mwenyewe bila kuwa mzigo wenye kuwalemea nyinyi na hakika mimi nitajitunza mwenyewe hivyo.
-