-
Wagalatia 1:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kama tulivyosema awali, sasa ninasema tena, Yeyote anayewatangazia kuwa habari njema jambo tofauti na lile mlilopokea, na alaaniwe.
-
-
Wagalatia 1:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kama ambavyo tumesema juu, sasa mimi pia nasema tena, Yeyote yule anayewatangazia nyinyi kuwa habari njema jambo fulani kupita lile mlilopokea, acheni alaaniwe.
-