-
Wafilipi 3:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Kwa muungano iweni waigaji wangu, akina ndugu, na fulizeni kuwaangalia wale wanaotembea katika njia ilinganayo na kielelezo mlicho nacho katika sisi.
-