-
Wakolosai 1:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa kweli, ninyi ambao zamani mlikuwa mmetengwa, nanyi mlikuwa adui kwa sababu akili zenu zilikuwa zikifikiria matendo maovu,
-
-
Wakolosai 1:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Kwa kweli, nyinyi mliokuwa wakati mmoja mmefanywa wageni na mkiwa maadui kwa sababu akili zenu zilikuwa juu ya kazi zilizokuwa zenye uovu,
-