-
1 Wathesalonike 1:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 kwa sababu hatukuwahubiria habari njema kwa maneno tu, bali pia kwa nguvu na kwa roho takatifu na kwa usadikisho thabiti, kama mnavyojua jinsi tulivyotenda miongoni mwenu kwa ajili yenu.
-
-
1 Wathesalonike 1:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 kwa sababu habari njema tuhubiriyo haikutokea miongoni mwenu kwa usemi pekee bali pia kwa nguvu na kwa roho takatifu na usadikisho wenye nguvu, kama vile nyinyi mjuavyo ni watu wa namna gani sisi tulipata kuwa kwenu kwa ajili yenu;
-