-
1 Wathesalonike 2:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 wajaribupo kutuzuia tusiseme na watu wa mataifa ili hao wapate kuokolewa, tokeo likiwa kwamba sikuzote wao hujaza kabisa kipimo cha dhambi zao. Lakini hasira yake ya kisasi hatimaye imekuja juu yao.
-