Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wathesalonike 4:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Mwishowe, akina ndugu, kama tulivyowaagiza jinsi mnavyopaswa kutembea ili kumpendeza Mungu,+ kama vile kwa kweli mnavyotembea, tunawaomba na kuwahimiza katika Bwana Yesu mwendelee kufanya hivyo kwa ukamili zaidi.

  • 1 Wathesalonike 4:1
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 4 Mwishowe, akina ndugu, twawaomba nyinyi na kuwahimiza kwa bidii kwa njia ya Bwana Yesu, kama vile mlivyopokea agizo kutoka kwetu juu ya jinsi mpaswavyo kutembea na kumpendeza Mungu, kama vile kwa kweli mnavyotembea, kwamba mngefuliza kufanya hilo kwa ukamili zaidi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki