-
2 Wathesalonike 1:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 wakati atakapokuja kutukuzwa kuhusiana na watakatifu wake na kustaajabiwa siku hiyo kati ya wote walioonyesha imani, kwa sababu ushahidi tuliotoa ulikubaliwa kwa imani kati yenu.
-
-
2 Wathesalonike 1:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 wakati ajapo kutukuzwa kuhusiana na watakatifu wake na kuonwa kwa kustaajabiwa katika siku hiyo kuhusiana na wote wale waliodhihirisha imani, kwa sababu ushahidi tuliotoa ulikubaliwa kwa imani miongoni mwenu.
-